DAMBWE LA HIP HOP Tunapotea

  • Producer: Kopolo "funky brother no.3"
  • Added on: Jul 19th, 2019 by DAMBWE LA HIP HOP
0:003:24
Tuna potea ni wimbo unao elezea juu ya D.L.H kuachana na mambo ya kwenda na wakati na kurudi kwenye misngi ya Hip hop na kuifanya funk iishi kwenye maskio ya watu wenye kuupenda na kuifahamu asili ya utamaduni halisi wa Hip Hop. Wengi wanatoka 2019 kwenda mblele sisi tunatoka 2019 kurudi miaka ya tisini ambapo hip hop ilikua inaheshima yake.

0 Comments

Uploaded By:

DAMBWE LA HIP HOP

  • Followers: 24
  • Uploads: 21
  • Plays: 4,882

Recent tracks and albums from DAMBWE LA HIP HOP