
Fau60asReal talk
#Real talk' ni Ep inayo zungumzia uhalisia wanafasi ya Mwenyezi Mungu kwenye maisha yetu yakilasiku hususan vijana waleo tunao pambana katika kutafuta fulsa mbali mbali zitakazo tuinua kiuchumi nakutufanya tujikwamue katika Maisha.
kumtanguliza mungu katika kila jambo na kufuata njia zake nishabaha ya fau60as katika playlist hii#REALTALK.
- Release Date:December 5, 2021
