Yohana 4:13-14 (KJV) Yesu akajibu, akamwambia, Kila anywaye maji haya ataona kiu tena;
walakini ye yote atakayekunywa maji yale nitakayompa mimi hataona kiu milele; bali yale maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji, yakibubujikia uzima wa milele.
- Release Date:October 22, 2023




