Skip to main content

D love Umelala

0:003:57

D LOVE

Niliandika huu wimbo miaka miwili iliyopita ila leo unaenda kua wimbo wetu wa maombolezo katika kipindi hiki kigumu tunachohitaji faraja kutokana na msiba wa aliekua Rais wetu kipenzi Mh.John Pombe Magufuli. natumaini utaenda kuusikiliza na kukupa faraja Kwa kila mmoja wetu Kwa kupoteza kipenzi chetu🙏🏽

  • Producer: Nusder
  • Release Date:

3 Comments